Native Bible

Psalms 88:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako?

Psalms 88:14 in English

Psalms 88:14 · Berean Standard Bible

Why, O LORD, do You reject me? Why do You hide Your face from me?

Context

12Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza, au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu? 13Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako. 14Ee Bwana, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako? 15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. 16Ghadhabu yako imepita juu yangu; hofu zako zimeniangamiza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.