Native Bible

Psalms 88:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ghadhabu yako imepita juu yangu; hofu zako zimeniangamiza.

Psalms 88:16 in English

Psalms 88:16 · Berean Standard Bible

Your wrath has swept over me; Your terrors have destroyed me.

Context

14Ee Bwana, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako? 15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. 16Ghadhabu yako imepita juu yangu; hofu zako zimeniangamiza. 17Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa. 18Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.