Native Bible

Psalms 88:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa.

Psalms 88:17 in English

Psalms 88:17 · Berean Standard Bible

All day long they engulf me like water; they enclose me on every side.

Context

15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. 16Ghadhabu yako imepita juu yangu; hofu zako zimeniangamiza. 17Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa. 18Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.