Native Bible

Psalms 88:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa.

Psalms 88:15 in English

Psalms 88:15 · Berean Standard Bible

From my youth I was afflicted and near death. I have borne Your terrors; I am in despair.

Context

13Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako. 14Ee Bwana, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako? 15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. 16Ghadhabu yako imepita juu yangu; hofu zako zimeniangamiza. 17Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.