Native Bible

Psalms 86:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele.

Psalms 86:12 in English

Psalms 86:12 · Berean Standard Bible

I will praise You, O Lord my God, with all my heart; I will glorify Your name forever.

Context

10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu. 11Ee Bwana, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako. 12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele. 13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi.* 14Ee Mungu, wenye majivuno wananishambulia; kundi la watu wakatili linatafuta uhai wangu: watu wasiokuheshimu wewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.