Native Bible

Psalms 86:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi.*

Psalms 86:13 in English

Psalms 86:13 · Berean Standard Bible

For great is Your loving devotion to me; You have delivered me from the depths of Sheol.

Context

11Ee Bwana, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako. 12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele. 13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi.* 14Ee Mungu, wenye majivuno wananishambulia; kundi la watu wakatili linatafuta uhai wangu: watu wasiokuheshimu wewe. 15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.