Native Bible

Psalms 86:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako.

Psalms 86:11 in English

Psalms 86:11 · Berean Standard Bible

Teach me Your way, O LORD, that I may walk in Your truth. Give me an undivided heart, that I may fear Your name.

Context

9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako. 10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu. 11Ee Bwana, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako. 12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote; nitaliadhimisha jina lako milele. 13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu; umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.