Native Bible

Psalms 86:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako.

Psalms 86:9 in English

Psalms 86:9 · Berean Standard Bible

All the nations You have made will come and bow before You, O Lord, and they will glorify Your name.

Context

7Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu. 8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako. 10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu. 11Ee Bwana, nifundishe njia yako, nami nitakwenda katika kweli yako; nipe moyo usiositasita, ili niweze kulicha jina lako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.