Zaburi 86:7
Psalms 86:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu.
Psalms 86:7 in English
Psalms 86:7 · Berean Standard Bible
In the day of my distress I call on You, because You answer me.
Context
5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe,
umejaa upendo kwa wote wakuitao. 6Ee Bwana, sikia maombi yangu,
sikiliza kilio changu unihurumie. 7Katika siku ya shida yangu nitakuita,
kwa maana wewe utanijibu. 8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe,
hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya
yatakuja na kuabudu mbele zako;
wataliletea utukufu jina lako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.