Zaburi 86:5
Psalms 86:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, umejaa upendo kwa wote wakuitao.
Psalms 86:5 in English
Psalms 86:5 · Berean Standard Bible
For You, O Lord, are kind and forgiving, rich in loving devotion to all who call on You.
Context
3Ee Bwana, nihurumie mimi,
kwa maana ninakuita mchana kutwa. 4Mpe mtumishi wako furaha,
kwa kuwa kwako wewe, Ee Bwana,
ninainua nafsi yangu. 5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe,
umejaa upendo kwa wote wakuitao. 6Ee Bwana, sikia maombi yangu,
sikiliza kilio changu unihurumie. 7Katika siku ya shida yangu nitakuita,
kwa maana wewe utanijibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.