Native Bible

Psalms 86:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa.

Psalms 86:3 in English

Psalms 86:3 · Berean Standard Bible

Be merciful to me, O Lord, for I call to You all day long.

Context

1Ee Bwana, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji. 2Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini. 3Ee Bwana, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa. 4Mpe mtumishi wako furaha, kwa kuwa kwako wewe, Ee Bwana, ninainua nafsi yangu. 5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, umejaa upendo kwa wote wakuitao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.