Native Bible

Psalms 86:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji.

Psalms 86:1 in English

Psalms 86:1 · Berean Standard Bible

Incline Your ear, O LORD, and answer me, for I am poor and needy.

Context

1Ee Bwana, sikia na unijibu, kwa maana mimi ni maskini na mhitaji. 2Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako, wewe ni Mungu wangu, mwokoe mtumishi wako anayekutumaini. 3Ee Bwana, nihurumie mimi, kwa maana ninakuita mchana kutwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.