Native Bible

Psalms 86:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie.

Psalms 86:6 in English

Psalms 86:6 · Berean Standard Bible

Hear my prayer, O LORD, and attend to my plea for mercy.

Context

4Mpe mtumishi wako furaha, kwa kuwa kwako wewe, Ee Bwana, ninainua nafsi yangu. 5Ee Bwana, wewe ni mwema na mwenye kusamehe, umejaa upendo kwa wote wakuitao. 6Ee Bwana, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie. 7Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu. 8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.