Native Bible

Psalms 86:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako.

Psalms 86:8 in English

Psalms 86:8 · Berean Standard Bible

O Lord, there is none like You among the gods, nor any works like Yours.

Context

6Ee Bwana, sikia maombi yangu, sikiliza kilio changu unihurumie. 7Katika siku ya shida yangu nitakuita, kwa maana wewe utanijibu. 8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe, hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya yatakuja na kuabudu mbele zako; wataliletea utukufu jina lako. 10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.