Zaburi 86:10
Psalms 86:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu; wewe peke yako ndiwe Mungu.
Psalms 86:10 in English
Psalms 86:10 · Berean Standard Bible
For You are great and perform wonders; You alone are God.
Context
8Ee Bwana, katikati ya miungu hakuna kama wewe,
hakuna matendo ya kulinganishwa na yako. 9Ee Bwana, mataifa yote uliyoyafanya
yatakuja na kuabudu mbele zako;
wataliletea utukufu jina lako. 10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu;
wewe peke yako ndiwe Mungu. 11Ee Bwana, nifundishe njia yako,
nami nitakwenda katika kweli yako;
nipe moyo usiositasita,
ili niweze kulicha jina lako. 12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote;
nitaliadhimisha jina lako milele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.