Zaburi 86:14
Psalms 86:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu, wenye majivuno wananishambulia; kundi la watu wakatili linatafuta uhai wangu: watu wasiokuheshimu wewe.
Psalms 86:14 in English
Psalms 86:14 · Berean Standard Bible
The arrogant rise against me, O God; a band of ruthless men seeks my life, with no regard for You.
Context
12Ee Bwana wangu, nitakusifu kwa moyo wote;
nitaliadhimisha jina lako milele. 13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu;
umeniokoa kutoka kwenye vilindi vya kaburi.* 14Ee Mungu, wenye majivuno wananishambulia;
kundi la watu wakatili linatafuta uhai wangu:
watu wasiokuheshimu wewe. 15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema,
si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu. 16Nigeukie na unihurumie;
mpe mtumishi wako nguvu zako,
mwokoe mwana wa mtumishi wako wa kike.*
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.