Native Bible

Psalms 78:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao, mazao yao kwa nzige.

Psalms 78:46 in English

Psalms 78:46 · Berean Standard Bible

He gave their crops to the grasshopper, the fruit of their labor to the locust.

Context

44Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao. 45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, na vyura wakawaharibu. 46Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao, mazao yao kwa nzige. 47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji. 48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.