Zaburi 78:48
Psalms 78:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi.
Psalms 78:48 in English
Psalms 78:48 · Berean Standard Bible
He abandoned their cattle to the hail and their livestock to bolts of lightning.
Context
46Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao,
mazao yao kwa nzige. 47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe
na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji. 48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe,
akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi. 49Aliwafungulia hasira yake kali,
ghadhabu yake, hasira na uadui,
na kundi la malaika wa kuharibu. 50Aliitengenezea njia hasira yake,
hakuwaepusha na kifo,
bali aliwaachia tauni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.