Native Bible

Psalms 78:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji.

Psalms 78:47 in English

Psalms 78:47 · Berean Standard Bible

He killed their vines with hailstones and their sycamore-figs with sleet.*

Context

45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, na vyura wakawaharibu. 46Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao, mazao yao kwa nzige. 47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji. 48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi. 49Aliwafungulia hasira yake kali, ghadhabu yake, hasira na uadui, na kundi la malaika wa kuharibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.