Native Bible

Psalms 78:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, na vyura wakawaharibu.

Psalms 78:45 in English

Psalms 78:45 · Berean Standard Bible

He sent swarms of flies that devoured them, and frogs that devastated them.

Context

43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani. 44Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao. 45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, na vyura wakawaharibu. 46Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao, mazao yao kwa nzige. 47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.