Native Bible

Psalms 78:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao.

Psalms 78:44 in English

Psalms 78:44 · Berean Standard Bible

He turned their rivers to blood, and from their streams they could not drink.

Context

42Hawakukumbuka uwezo wake, siku aliyowakomboa kutoka kwa mtesi, 43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani. 44Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao. 45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, na vyura wakawaharibu. 46Aliruhusu tunutu kuharibu mimea yao, mazao yao kwa nzige.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.