Native Bible

Psalms 78:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawakukumbuka uwezo wake, siku aliyowakomboa kutoka kwa mtesi,

Psalms 78:42 in English

Psalms 78:42 · Berean Standard Bible

They did not remember His power *— the day He redeemed them from the adversary,

Context

40Mara ngapi walimwasi jangwani na kumhuzunisha nyikani! 41Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 42Hawakukumbuka uwezo wake, siku aliyowakomboa kutoka kwa mtesi, 43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani. 44Aligeuza mito yao kuwa damu, hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.