Zaburi 78:43
Psalms 78:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri, maajabu yake huko Soani.
Psalms 78:43 in English
Psalms 78:43 · Berean Standard Bible
when He performed His signs in Egypt and His wonders in the fields of Zoan.
Context
41Walimjaribu Mungu mara kwa mara,
wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 42Hawakukumbuka uwezo wake,
siku aliyowakomboa kutoka kwa mtesi, 43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri,
maajabu yake huko Soani. 44Aligeuza mito yao kuwa damu,
hawakuweza kunywa maji kutoka vijito vyao. 45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala,
na vyura wakawaharibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.