Zaburi 78:41
Psalms 78:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.
Psalms 78:41 in English
Psalms 78:41 · Berean Standard Bible
Again and again they tested God and provoked the Holy One of Israel.
Context
39Alikumbuka kwamba wao walikuwa nyama tu,
upepo upitao ambao haurudi. 40Mara ngapi walimwasi jangwani
na kumhuzunisha nyikani! 41Walimjaribu Mungu mara kwa mara,
wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 42Hawakukumbuka uwezo wake,
siku aliyowakomboa kutoka kwa mtesi, 43siku aliyoonyesha ishara zake za ajabu huko Misri,
maajabu yake huko Soani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.