Native Bible

Psalms 78:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alikumbuka kwamba wao walikuwa nyama tu, upepo upitao ambao haurudi.

Psalms 78:39 in English

Psalms 78:39 · Berean Standard Bible

He remembered that they were but flesh, a passing breeze that does not return.

Context

37mioyo yao haikuwa thabiti kwake, wala hawakuwa waaminifu katika agano lake. 38Hata hivyo alikuwa na huruma, alisamehe maovu yao na hakuwaangamiza. Mara kwa mara alizuia hasira yake, wala hakuchochea ghadhabu yake yote. 39Alikumbuka kwamba wao walikuwa nyama tu, upepo upitao ambao haurudi. 40Mara ngapi walimwasi jangwani na kumhuzunisha nyikani! 41Walimjaribu Mungu mara kwa mara, wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.