Native Bible

Psalms 78:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliwafungulia hasira yake kali, ghadhabu yake, hasira na uadui, na kundi la malaika wa kuharibu.

Psalms 78:49 in English

Psalms 78:49 · Berean Standard Bible

He unleashed His fury against them, wrath, indignation, and calamity— a band of destroying angels.

Context

47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji. 48Aliwaachia mifugo yao mvua ya mawe, akayapiga makundi ya wanyama wao kwa radi. 49Aliwafungulia hasira yake kali, ghadhabu yake, hasira na uadui, na kundi la malaika wa kuharibu. 50Aliitengenezea njia hasira yake, hakuwaepusha na kifo, bali aliwaachia tauni. 51Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.