Zaburi 78:51
Psalms 78:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu.
Psalms 78:51 in English
Psalms 78:51 · Berean Standard Bible
He struck all the firstborn of Egypt, the virility in the tents of Ham.
Context
49Aliwafungulia hasira yake kali,
ghadhabu yake, hasira na uadui,
na kundi la malaika wa kuharibu. 50Aliitengenezea njia hasira yake,
hakuwaepusha na kifo,
bali aliwaachia tauni. 51Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri,
matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu. 52Lakini aliwatoa watu wake kama kundi,
akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani. 53Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa,
bali bahari iliwameza adui zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.