Native Bible

Psalms 78:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao.

Psalms 78:53 in English

Psalms 78:53 · Berean Standard Bible

He led them safely, so they did not fear, but the sea engulfed their enemies.

Context

51Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri, matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu. 52Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani. 53Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa, bali bahari iliwameza adui zao. 54Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa. 55Aliyafukuza mataifa mbele yao, na kuwagawia nchi zao kama urithi, aliwakalisha makabila ya Israeli katika makao yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.