Zaburi 78:54
Psalms 78:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa.
Psalms 78:54 in English
Psalms 78:54 · Berean Standard Bible
He brought them to His holy land, to the mountain His right hand had acquired.
Context
52Lakini aliwatoa watu wake kama kundi,
akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani. 53Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa,
bali bahari iliwameza adui zao. 54Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu,
hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa. 55Aliyafukuza mataifa mbele yao,
na kuwagawia nchi zao kama urithi,
aliwakalisha makabila ya Israeli katika makao yao. 56Lakini wao walimjaribu Mungu,
na kuasi dhidi ya Yeye Aliye Juu Sana,
wala hawakuzishika sheria zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.