Zaburi 78:52
Psalms 78:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini aliwatoa watu wake kama kundi, akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani.
Psalms 78:52 in English
Psalms 78:52 · Berean Standard Bible
He led out His people like sheep and guided them like a flock in the wilderness.
Context
50Aliitengenezea njia hasira yake,
hakuwaepusha na kifo,
bali aliwaachia tauni. 51Aliwapiga wazaliwa wote wa kwanza wa Misri,
matunda ya kwanza ya ujana katika mahema ya Hamu. 52Lakini aliwatoa watu wake kama kundi,
akawaongoza kama kondoo kupitia jangwani. 53Aliwaongoza salama, wala hawakuogopa,
bali bahari iliwameza adui zao. 54Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu,
hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.