Native Bible

Psalms 78:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili na miaka yao katika vitisho.

Psalms 78:33 in English

Psalms 78:33 · Berean Standard Bible

So He ended their days in futility,* and their years in sudden terror.

Context

31hasira ya Mungu ikawaka juu yao, akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao, akiwaangusha vijana wa Israeli. 32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, licha ya maajabu yake, hawakuamini. 33Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili na miaka yao katika vitisho. 34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, waliosalia walimtafuta, walimgeukia tena kwa shauku. 35Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa Mwamba wao, kwamba Mungu Aliye Juu Sana alikuwa Mkombozi wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.