Zaburi 78:32
Psalms 78:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, licha ya maajabu yake, hawakuamini.
Psalms 78:32 in English
Psalms 78:32 · Berean Standard Bible
In spite of all this, they kept on sinning; despite His wonderful works, they did not believe.
Context
30Kabla hawajamaliza kula walichokitamani,
hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao, 31hasira ya Mungu ikawaka juu yao,
akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao,
akiwaangusha vijana wa Israeli. 32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi,
licha ya maajabu yake, hawakuamini. 33Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili
na miaka yao katika vitisho. 34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao,
waliosalia walimtafuta,
walimgeukia tena kwa shauku.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.