Native Bible

Psalms 78:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, waliosalia walimtafuta, walimgeukia tena kwa shauku.

Psalms 78:34 in English

Psalms 78:34 · Berean Standard Bible

When He slew them, they would seek Him; they repented and searched for God.

Context

32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, licha ya maajabu yake, hawakuamini. 33Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili na miaka yao katika vitisho. 34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, waliosalia walimtafuta, walimgeukia tena kwa shauku. 35Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa Mwamba wao, kwamba Mungu Aliye Juu Sana alikuwa Mkombozi wao. 36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, wakisema uongo kwa ndimi zao,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.