Zaburi 78:35
Psalms 78:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa Mwamba wao, kwamba Mungu Aliye Juu Sana alikuwa Mkombozi wao.
Psalms 78:35 in English
Psalms 78:35 · Berean Standard Bible
And they remembered that God was their Rock, that God Most High * was their Redeemer.
Context
33Kwa hiyo akamaliza siku zao katika ubatili
na miaka yao katika vitisho. 34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao,
waliosalia walimtafuta,
walimgeukia tena kwa shauku. 35Walikumbuka kwamba Mungu alikuwa Mwamba wao,
kwamba Mungu Aliye Juu Sana alikuwa Mkombozi wao. 36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao,
wakisema uongo kwa ndimi zao, 37mioyo yao haikuwa thabiti kwake,
wala hawakuwa waaminifu katika agano lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.