Native Bible

Psalms 78:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kabla hawajamaliza kula walichokitamani, hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao,

Psalms 78:30 in English

Psalms 78:30 · Berean Standard Bible

Yet before they had filled their desire, with the food still in their mouths,

Context

28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao, kuzunguka mahema yao yote. 29Walikula na kusaza, kwa maana alikuwa amewapa kile walichotamani. 30Kabla hawajamaliza kula walichokitamani, hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao, 31hasira ya Mungu ikawaka juu yao, akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao, akiwaangusha vijana wa Israeli. 32Licha ya haya yote, waliendelea kutenda dhambi, licha ya maajabu yake, hawakuamini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.