Zaburi 78:29
Psalms 78:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walikula na kusaza, kwa maana alikuwa amewapa kile walichotamani.
Psalms 78:29 in English
Psalms 78:29 · Berean Standard Bible
So they ate and were well filled, for He gave them what they craved.
Context
27Aliwanyeshea nyama kama mavumbi,
ndege warukao kama mchanga wa pwani. 28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao,
kuzunguka mahema yao yote. 29Walikula na kusaza,
kwa maana alikuwa amewapa kile walichotamani. 30Kabla hawajamaliza kula walichokitamani,
hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao, 31hasira ya Mungu ikawaka juu yao,
akawaua wale waliokuwa na nguvu zaidi miongoni mwao,
akiwaangusha vijana wa Israeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.