Native Bible

Psalms 78:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao, kuzunguka mahema yao yote.

Psalms 78:28 in English

Psalms 78:28 · Berean Standard Bible

He felled them in the midst of their camp, all around their dwellings.

Context

26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 27Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani. 28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao, kuzunguka mahema yao yote. 29Walikula na kusaza, kwa maana alikuwa amewapa kile walichotamani. 30Kabla hawajamaliza kula walichokitamani, hata kilipokuwa kingali bado vinywani mwao,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.