Zaburi 78:27
Psalms 78:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani.
Psalms 78:27 in English
Psalms 78:27 · Berean Standard Bible
He rained meat on them like dust, and winged birds like the sand of the sea.
Context
25Watu walikula mkate wa malaika,
akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula. 26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu
na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 27Aliwanyeshea nyama kama mavumbi,
ndege warukao kama mchanga wa pwani. 28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao,
kuzunguka mahema yao yote. 29Walikula na kusaza,
kwa maana alikuwa amewapa kile walichotamani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.