Native Bible

Psalms 78:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula.

Psalms 78:25 in English

Psalms 78:25 · Berean Standard Bible

Man ate the bread of angels; He sent them food in abundance.

Context

23Hata hivyo alitoa amri kwa anga zilizo juu na kufungua milango ya mbingu, 24akawanyeshea mana ili watu wale; aliwapa nafaka ya mbinguni. 25Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula. 26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 27Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.