Native Bible

Psalms 78:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake.

Psalms 78:26 in English

Psalms 78:26 · Berean Standard Bible

He stirred the east wind from the heavens and drove the south wind by His might.

Context

24akawanyeshea mana ili watu wale; aliwapa nafaka ya mbinguni. 25Watu walikula mkate wa malaika, akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula. 26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake. 27Aliwanyeshea nyama kama mavumbi, ndege warukao kama mchanga wa pwani. 28Aliwafanya washuke ndani ya kambi yao, kuzunguka mahema yao yote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.