Zaburi 78:24
Psalms 78:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
akawanyeshea mana ili watu wale; aliwapa nafaka ya mbinguni.
Psalms 78:24 in English
Psalms 78:24 · Berean Standard Bible
He rained down manna for them to eat; He gave them grain from heaven.*
Context
22kwa kuwa hawakumwamini Mungu,
wala kuutumainia ukombozi wake. 23Hata hivyo alitoa amri kwa anga zilizo juu
na kufungua milango ya mbingu, 24akawanyeshea mana ili watu wale;
aliwapa nafaka ya mbinguni. 25Watu walikula mkate wa malaika,
akawatumia chakula chote ambacho wangeliweza kula. 26Aliachia upepo wa mashariki kutoka kwenye mbingu
na kuuongoza upepo wa kusini kwa uwezo wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.