Native Bible

Psalms 78:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri.

Psalms 78:12 in English

Psalms 78:12 · Berean Standard Bible

He worked wonders before their fathers in the land of Egypt, in the region of Zoan.

Context

10Hawakulishika agano la Mungu na walikataa kuishi kwa sheria yake. 11Walisahau aliyokuwa ameyatenda, maajabu aliyokuwa amewaonyesha. 12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri. 13Aliigawanya bahari akawapitisha, alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 14Aliwaongoza kwa wingu mchana na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.