Zaburi 78:11
Psalms 78:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walisahau aliyokuwa ameyatenda, maajabu aliyokuwa amewaonyesha.
Psalms 78:11 in English
Psalms 78:11 · Berean Standard Bible
They forgot what He had done, the wonders He had shown them.
Context
9Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde,
walikimbia siku ya vita. 10Hawakulishika agano la Mungu
na walikataa kuishi kwa sheria yake. 11Walisahau aliyokuwa ameyatenda,
maajabu aliyokuwa amewaonyesha. 12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao,
huko Soani, katika nchi ya Misri. 13Aliigawanya bahari akawapitisha,
alifanya maji yasimame imara kama ukuta.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.