Native Bible

Psalms 78:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawakulishika agano la Mungu na walikataa kuishi kwa sheria yake.

Psalms 78:10 in English

Psalms 78:10 · Berean Standard Bible

They failed to keep God’s covenant and refused to live by His law.

Context

8Ili wasifanane na baba zao, waliokuwa kizazi cha ukaidi na uasi, ambao roho zao hazikuwa na uaminifu kwake, ambao roho zao hazikumwamini. 9Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde, walikimbia siku ya vita. 10Hawakulishika agano la Mungu na walikataa kuishi kwa sheria yake. 11Walisahau aliyokuwa ameyatenda, maajabu aliyokuwa amewaonyesha. 12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.