Zaburi 78:9
Psalms 78:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde, walikimbia siku ya vita.
Psalms 78:9 in English
Psalms 78:9 · Berean Standard Bible
The archers of Ephraim turned back on the day of battle.
Context
7Ndipo wangeweka tumaini lao kwa Mungu,
nao wasingesahau matendo yake,
bali wangalizishika amri zake. 8Ili wasifanane na baba zao,
waliokuwa kizazi cha ukaidi na uasi,
ambao roho zao hazikuwa na uaminifu kwake,
ambao roho zao hazikumwamini. 9Watu wa Efraimu, ingawa walijifunga pinde,
walikimbia siku ya vita. 10Hawakulishika agano la Mungu
na walikataa kuishi kwa sheria yake. 11Walisahau aliyokuwa ameyatenda,
maajabu aliyokuwa amewaonyesha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.