Zaburi 78:13
Psalms 78:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Aliigawanya bahari akawapitisha, alifanya maji yasimame imara kama ukuta.
Psalms 78:13 in English
Psalms 78:13 · Berean Standard Bible
He split the sea and brought them through; He set the waters upright like a wall.
Context
11Walisahau aliyokuwa ameyatenda,
maajabu aliyokuwa amewaonyesha. 12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao,
huko Soani, katika nchi ya Misri. 13Aliigawanya bahari akawapitisha,
alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 14Aliwaongoza kwa wingu mchana
na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha. 15Alipasua miamba jangwani
na akawapa maji tele kama bahari,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.