Native Bible

Psalms 78:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliwaongoza kwa wingu mchana na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha.

Psalms 78:14 in English

Psalms 78:14 · Berean Standard Bible

He led them with a cloud by day and with a light of fire all night.

Context

12Alitenda miujiza machoni mwa baba zao, huko Soani, katika nchi ya Misri. 13Aliigawanya bahari akawapitisha, alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 14Aliwaongoza kwa wingu mchana na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha. 15Alipasua miamba jangwani na akawapa maji tele kama bahari, 16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.