Native Bible

Psalms 78:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito.

Psalms 78:16 in English

Psalms 78:16 · Berean Standard Bible

He brought streams from the stone and made water flow down like rivers.

Context

14Aliwaongoza kwa wingu mchana na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha. 15Alipasua miamba jangwani na akawapa maji tele kama bahari, 16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito. 17Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake, wakiasi jangwani dhidi ya Aliye Juu Sana. 18Kwa makusudi walimjaribu Mungu, wakidai vyakula walivyovitamani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.