Zaburi 78:17
Psalms 78:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake, wakiasi jangwani dhidi ya Aliye Juu Sana.
Psalms 78:17 in English
Psalms 78:17 · Berean Standard Bible
But they continued to sin against Him, rebelling in the desert against the Most High.
Context
15Alipasua miamba jangwani
na akawapa maji tele kama bahari, 16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka,
akayafanya maji yatiririke kama mito. 17Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake,
wakiasi jangwani dhidi ya Aliye Juu Sana. 18Kwa makusudi walimjaribu Mungu,
wakidai vyakula walivyovitamani. 19Walinena dhidi ya Mungu, wakisema,
“Je, Mungu aweza kuandaa meza jangwani?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.