Native Bible

Psalms 78:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa makusudi walimjaribu Mungu, wakidai vyakula walivyovitamani.

Psalms 78:18 in English

Psalms 78:18 · Berean Standard Bible

They willfully tested God by demanding the food they craved.

Context

16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito. 17Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake, wakiasi jangwani dhidi ya Aliye Juu Sana. 18Kwa makusudi walimjaribu Mungu, wakidai vyakula walivyovitamani. 19Walinena dhidi ya Mungu, wakisema, “Je, Mungu aweza kuandaa meza jangwani? 20Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, vijito vikatiririka maji mengi. Lakini je, aweza kutupa chakula pia? Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.